Ugomvi ulio ibuka kati ya msanii diamond platnumz na harmonize (konde boy) ambao ulipelekea malumbano kati ya lebel mbii za muziki WCB na KONDE GANG umeonekana kuisha na hii ni baada ya msanii harmonize kuandika maneno ya kumshukuru na kumwish msanii diamond platnuzm kheri ya mwaka mpya
Ali andika maneno haya msanii harmonize " SPEAKING THIS FROM THE BOTTOM OF MY HEART I LOVE YOU BRO I S S A NEW YEAR 2021 🤞♥️ THANK YOU 4 CHANGING MY LIFE PEKE ULIONA DHAHABU KWENYE MCHANGA NA GIZA JINGI SANAA....!!! LEO HII AFRICA MZIMA SPECIAL EAST AFRICA WANAJIVUNIA UWEPO WANGU THIS LOVE IS 4 EVER MY BROTHER EVERTHING I HAVE DONE IT'S JUS TO MAKE YOU PROUD DON'T GET ME WRONG KAA CHINI PEKEYAKO BILA MTU YEYOTE PEMBENI SOMA UTAJUA NINACHO MAANISHA YOUR THE LEGEND ONE STAY COOL #KONDEBOY AND ALL KONDEGANG TEAM WE LOVE YOU HAPPY NEW ONE ♥️ CHIBU (DANGOTE) @diamondplatnumz BIG BROTHER 📩 🤞♥️", na kupost hii picha ya diamond
No comments:
Post a Comment