Mwenyekiti wa club ya young africa ali maarufu team ya wananchi Fredrick Mwakalebela atangaza usajili wa dirisha dogo kwa wachezaji
YANGA YATENGA MIL 500 KUSHUSHA MAJEMBE HAYA DIRISHA DOGO
Taarifa zinasema Yanga wametenga zaidi ya milioni 500 za Kitanzania kwa usajili wa wachezaji wafuatao.
Mkongo Dark Kadima, Mnyarwanda Jacques Tuyisenge na beki Edward Charles Manyama halikadhalika Steven Sey anayekipiga Namungo FC.
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amethibitisha.
No comments:
Post a Comment