Sunday, July 11, 2021

Hhhbbbbbhhhh

 Hsgdgsgshdbdbdbxhdhdbdbdbdbdbdbdbdbdbdvbdbdbdbdjdbdhdhdhdbdhdbdjsgwjdhdbdhdbdvdbdhdbdjdjdhdbdhdhdhdhdhdhfhdhdhdhdh&d

fff

F


fft


f

f

f

fhdhdhdhdjddj

Saturday, January 2, 2021

BIFU LA HARMONIZE NA DIAMONDI LIMEISHA

 Ugomvi ulio ibuka kati ya msanii diamond platnumz na harmonize (konde boy) ambao ulipelekea malumbano kati ya lebel mbii za muziki   WCB na KONDE GANG  umeonekana kuisha na hii ni baada  ya msanii harmonize kuandika maneno ya kumshukuru na kumwish msanii diamond platnuzm  kheri ya mwaka mpya   

Ali andika maneno haya msanii harmonize " SPEAKING THIS FROM THE BOTTOM OF MY HEART I LOVE YOU BRO I S S A NEW YEAR 2021 🤞♥️ THANK YOU 4 CHANGING MY LIFE  PEKE ULIONA DHAHABU KWENYE MCHANGA NA GIZA JINGI SANAA....!!! LEO HII AFRICA MZIMA SPECIAL  EAST AFRICA WANAJIVUNIA UWEPO WANGU THIS LOVE IS 4 EVER MY BROTHER EVERTHING  I HAVE DONE IT'S JUS TO MAKE YOU PROUD DON'T GET ME WRONG KAA CHINI PEKEYAKO BILA MTU YEYOTE PEMBENI SOMA UTAJUA NINACHO MAANISHA  YOUR THE LEGEND ONE STAY COOL #KONDEBOY AND ALL KONDEGANG TEAM WE LOVE YOU HAPPY NEW ONE ♥️ CHIBU (DANGOTE)  @diamondplatnumz  BIG BROTHER 📩 🤞♥️", na kupost hii picha ya diamond





Wednesday, December 30, 2020

YANGA KUFANYA USAJIRI WA DIRISHA DOGO KWA TSH MILLION 500

 Mwenyekiti wa club ya young africa  ali maarufu team ya wananchi Fredrick Mwakalebela  atangaza usajili wa dirisha dogo kwa wachezaji  

YANGA YATENGA MIL 500 KUSHUSHA MAJEMBE HAYA DIRISHA DOGO

 

Taarifa zinasema Yanga wametenga zaidi ya milioni 500 za Kitanzania kwa usajili wa wachezaji wafuatao.


Mkongo Dark Kadima, Mnyarwanda Jacques Tuyisenge na beki Edward Charles Manyama  halikadhalika Steven Sey anayekipiga Namungo FC.


Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amethibitisha.




GIGY MONEY ACHOCHEA UGOMVI KATI YA SHILOLE NA MANGE KIMAMBI

 Mwana dada gigy money ukipenda muite  gigy ni kiki ameonekana kuuchochea ugomvi kati ya shishi  pamoja na mange kimambi👉na hii ni baada tu ya kuandika ujumbe mzito alio usema hivi "Nilikua nataka kuolewa lakini Da mange sasa ..... anasema tusubir matajiri 

Na da shishi nae ndio kazama kama mimi sa sijui nisubiri tajiri au niolewe na kapuku mwenzangu , yani mwanaume akiwa hana pesa kuna mda unanuna tu ila kitandani anapeleka moto kuna muda mwanaume anayo pesa ila kimoja chaliiii sasa nisije nikajichanganya niambieni niende wapi Nampenda sana shishi namuelewaga Mange🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️ eeh Mungu post yangu haiuhusiani na hao wawili ila mm nichague danga au king’asti😢😢😢" Asa bado haojajulikana ukweli wa hili kwamba ni kweli au ni yeye ku waita madada zale ili apate kiki kama kawaida  akamaliza kwa kupost hii picha yake


MAZITO YAIBUKA BAADA YA UGOMVI WA SHILOLE NA MANGE KIMAMBI

 Ugomvi kati ya Mwanamziki wa msanii shilole  na mwana dada mange kimambi .............


Shishi kasema mange kimambi anapenda kuchuna  na ana ishi na wazee had sio pouw  lakn ..... Mange kasema shishi anapenda ving'asti yani vitoto vidogo (serengeti boy) nakumshushia mazito  

  Mange alisema katika ukurasa wake wa instagram👉👉👉👉👉👉👉"Hivi Shilole my dear, hivi kwani ni lazma uolewe jamani? Unanisikitisha. Hivi utatumika na hivi vitoto mpaka lini? Hizo hela za kuwalea hao vijana wenye mama zao si uwawekee wanao savings bank jamani? 

.

.


Hivi bongo ndo tuseme wanaume hakuna kabisaaa. Yani mwanamke mzuri mwenye shughuli zake kama Shilole anakosa kabisa mwanamke wa maana  Hadi inabidi alee KIMTU ili akiite mume??

.

.

Jamani kuolewa sio lazma, Kha!!! Alafu hamjui tu mnajizibia kupata wanaume wa maana kwa kuolewa fasta na hivi vijitu vya ajabu. Ni bora uwe single muda mrefu ukisubiri mwanaume wa maana kuliko kuolewa na kitu cha ajabu ukajizibia bahati ya kumpa mtu wa maana. 

.

.

Jamani mimi siweziiiiiiiii, uwiiiii yani nibebe mtu hana kitu nianze kumhonga pesa zangu za matunzo ya watoto na mke. Uwiiiiii kwanza mtu kama hana hela yani hata nyeg* nae sinaaaaaaaaaaa. Yani hazijiiiiiiiiiiii. Sijui kina Shilole wanawezaje jamani 😭😭. Yani unampa yooooote kabisaaaa, unamkatia na viuno kabisaaaaaa alafu mkimaliza kudo wewe ndo unampa hela?? 😭😭Uwiii mi ningekaaa bila kufanyw*** hadi  K izibeeeeee yenyewe. Uwiii  aiseee bado sijalalwa na mwanaume hana kitu eti mi ndo namlea. Uwiii ni bora nitumie matoy tuu. Yani niache kulea kina Kina Kenzo nikae nalea Toto la mwanamke mwingine kisa kujionyesha eti na mimi na mume? 😏😁. 

.

.

Ila hakuna kiumbe alienicha hoi kama Uchebe jamani, yani toka apewe talaka na Shilole  na ustaadhi ameacha 🤣🤣Yani Uchebe kadata kama wanawake wanaoachagwa vibaya na wanaume 🤣🤣. 

.

.

Bwana Shilole Hii ndoa yako mpya yani haina baraka ya dada wa taifa. Sasa huyu ndo ataKupiga hadi akuvunje kiuno, wanaume wasio na hela huwa wana wivu mbayaaa na kutwa anataka akugande ili achunge ugali wake.Embu kaa single uleee watoto huko. Mbona kina Faiza Ally wako vizuri tu bila kuolewa na vinuka mkojo? Mbona kina Mange Kimambi tupo tu? Mnadhani dadaenu siwezi kutafuta kikaka cha kitz huku marekani kibeba boksi nkafunga nacho ndoa ili niwaringishie nimeolewa? Ila no way, bora nife single na ikibidi hata tundu la K lizibeee tu ila siolewi na kinuka mkojo, pyeeeeee!

.

.

Jamani wanawake wa Tz acheni hii mambo ya kutaka kuolewa. This is 2020 mwanamke kuolewa sio lazma, mambo ya kizamani hayo."

.

.hayo ndiyo maneno aliyo msema shilole lakn shilole alilipiza kwa kicheko kikubwa instagram